Masasi Halmashauri ya Mji masasi imekabidhi pikipini 14 kwa vikundi mbali makabidhiano hayo yaliyo hudhuliwa na viongozi mbalimbali wa ndani ya wila ya masasi ,Mkurugenzi wa Halamshauri Mji masasi Gimbana Ntavyo aliwasihi kuwa wepesi wa kurudisha pesa kwani zitawasaidia na wengine kuweza kukopa Naye Mgeni rasmi katika makabaidhiano hayo Katibu Tawala, Masasi Aziz Fakih aliwahimiza vijana kujiunga katika vikundi ili waweze kupata mikopo kama hiyo kutoka halimashauri ya mji Naye mwakilishi kutoka kikundi kimojawapo cha walemavu kwa niaba ya vikundi vingine aliishukuru serika kwa maamuzi hayo

Open full story