Culture
vipindi vya utamaduni
TANGAZO LA KATIZO LA UMEME KATIKA WILAYA YA MASASI NA NANYUMBU NA MAENEO YATAKAYO KOSA UMEME
SIKILIZA KIPINDI CHA NGOMA ZETU RADIO FADHILA 95.0 FM – NA MTANGA JR
JAMII YETI KIPINDI MAADA MEZANI TABIA HATARISHI -RADIO FADHILA 95.0 FM
IJUE HISTORIA YA MASHARIFU KUPITIA KIPINDI CHA URITHI WETU
URITHI WETU ni kipindi kinachoangazia historia ya maeneo mbali mbali ndani na nje ya Pangani, pia kufahamu mila na tamaduni za kitanzania. Rajabu Mustafa anakuletea historia ya masharifu na historia ya kijiji cha Kigombe. Open full story
VITA VYA ABUSHIRI BIN SALIM NA UJERUMANI WILAYANI PANGANI
URITHI WA PANGANI ni kipindi maalumu kinachoangazia urithi wa mji wa Pangani, majengo kale, na maeneo yote ya kihistoria. Ungana na Maajabu Ally na Mohammed Hammie wanaokuletea simulizi ya Abushiri Bin Salim na vita ya Wajerumani katika mji wa Pangani… Open full story
MILA NA DESTURI POTOFU ZINAVYOWEZA KUWA KIKWAZO CHA MAENDELEO
SI DOGO ni makala inayokujia kwa lengo la kuibua changamoito mbali mbali za kimaendeleo zinazotokea katika jamii, familia na hata mtu mmoja mmoja. Ungana na Mwanahamisi Kassim anayekuletea mjadala unaohusu ni kwa namna gani baadhi ya mila na desturi potofu… Open full story
WASANII WA SANAA WAIOMBA SERIKALI IWATAFUTIE SOKO LA BIDHAA ZAO
Na michael sima Wasanii wa sanaa ya uchongaji wa vinyago wameiomba serikali iweze kuwatafutia soko la bidhaa zao ili waweze kuendeleza utamaduni wetu .Pia wamesema kuwa bidhaa ambazo wanachonga zinasaidia taifa kupata fedha za kigeni na kutangaza pia utamaduni,na wao… Open full story
Mila na Tamaduni za kabila la Wanyiramba
Na Rajabu Mustafa makala hii inaangazia mila na tamaduni za wanyiramba je!uhalisia wao ni wapi…karibu usikilize Open full story
Unafahamu nini kuhusu kabila la wanyiramba?
Na Rajabu Mustafa Makala hii inaangazia kabila la wanyiramba, Je!ni vitu gani ambavyo huvifahamu kuhusu kabila hili?bila shaka jibu lipo hapa karibu….. Open full story