AFUNGWA MIAKA 73 JELA KWA KUBAKA WATOTO WILAYANI PANGANI
170519_005 Mahakama wilayani Pangani imemuhukumu kijana AWADHI ABDALLAH mwenye umri wa miaka 27, kifungo cha miaka sabini na tatu (73) jela kwa makosa mawili tofauti likiwemo la kuwabaka watoto wawili wa familia moja wa kijiji cha KIKOKWE wilayani humo. Kelvin… Open full story