Karibu katika Jukwaa huru la Habari,Vipindi na Maelezo kutoka Radio za Jamii Tanzania,Mimi ni Baraka Ole Maika kutoka Orkonerei Radio Service,Simanjiro-Manyara.

Na Baraka Ole Maika: Orkonerei Fm Radio Service(ORS Fm 94.4) ni Radio ya Jamii iliyoanzishwa June 2002 na Taasisi ya Kijamii ya Ilaramatak Loorkonerei iliyopo Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara. Lengo la Radio hii ni Kuelimisha,Kuhabarisha na Kuburudisha Jamii kupitia… Open full story