WANANCHI WA MKOA WA MTWARA NA MIKOA JIRANI WAMEHASWA KUTUMIA FURSA YAKIBIASHARA KATI YA TANZANIA NA COMORO ILI KUIMARISHA UCHUMI

Na Amua Rushita, Chama cha Wafanyabiashara Viwanda na Kilimo Mkoa wa Mtwara (TCCIA)wamesaini hati ya makubaliano ya kibiashara na ushirikiano kati ya Tanzania na Comoro kupitia Chama cha Wafanyabiashara Viwanda na Kilimo nchini humo(UCCIA). Hafla ya makubaliano hayo yamefanyika mkoa… Open full story