Children
sikiliza kipindi cha jamii yetu kinakujuza maada mbalimbali za kijamiii mada yetu inasema NINI SABABU YA BAADHI YA WANAWAKE KUTUPA WATOTO WAO KIPINDU WANAPOJIFUNGUA!!!!!!
umaskini, wazazi kutengana, watoto kutumikishwa, wazee kutelekezwa na watoto..wapi kimbilio la watoto hawa katika kupigania ndoto zao za kielimu?
Makala ya HALI HALISI, naye mtangazaji MARTHA JAMES ikishuhudia vilio vya utumikishwaji wa watoto wilayani pangani na sababu zinazopelekea hali hiyo kujitokeza, na je? jamii inajiona wapi katika hili ? Open full story
Kituo cha Watoto Yatima
Na Victoria Mrope Mkoani Mtwara kuna baadhi ya vituo vya watoto yatima kwenye makala hii tutasikiliza muhudumu wa kituo cha E.A.G.T rahaleo ophernage center na mtoto anayetunzwa na kituo icho. vctoria kpindi jumanne Open full story