Kama ulikosa kusikiliza kipindi cha top 10 nyimbo zinazofanya vizuri kwa wiki zima katika kipindi cha track 2 track siku ya juma pili unaweza sikiliza hapa muda huu na kuipendekeza nyimbo unayo taka wiki hii iwepo (radio fadhila 95.0 fm) host dj magasha

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply