IPI NAFASI YAKO KATIKA KUWASAIDIA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM

Katika jamii yoyote watu hutambuana kwa makundi tofauti kutegemea na jinsi ambavyo jamii husika huishi. Kwa mujibu Wa katiba ya Jamhuri ya Tanzania inasema kuwa kila MTU ana haki sawa, na pia inatambua uwepo wa Makundi maalum kwenye Jamii.
katika makala hii ambayo imeandaliwa Gregory Millanzi alitembelea wanafunzi wenye wenye ulemavu Wa akili katika shule ya Msingi Dinyecha kitengo cha elimu Maalum Halmashauri ya Mji Nanyamba, Mtwara, Tanzania ambapo amefuatilia kufahamu hali jinsi ilivyo na wanawezaje kuhimili kufundisha watu wenye mahitaji maalum. KARIBU USIKILIZE MAKALA HII


Je katika jamii yako unatambua watu wenye mahitaji/Makundi maalum? nini wajibu wako katika jamii inayokuzunguka? tuandikie maoni yako kupitia namba 0684996494 nasi tutakujibu

International Republican Institute(IRI) #International_Republican_Institute_IRI

Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply