Wenye ulemavu kushiriki uchaguzi mkuu kikamilifu

12 September 2015 ulemavu

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema mwaka huu watu wenye ulemavu wamezingatiwa vya kutosha katika mchakato wa uchaguzi kuanzia uandikishwaji wa wapiga kura hadi siku ya kupiga tarehe 25 mwezi Oktoba.

Mwanasheria wa Tume hiyo Bwana KABYEMELA LUSHANGAMA, amesema jijini Dar es Salaam kuwa wamefanya jitihada za kutosha kwa jamii yote kushiriki katika zoezi la uchaguzi ikiwemo kuzingatia fursa za watu wenye ulemavu.

Bwana KABYEMELA amesema watanzania wote wana sifa sawa kwenye masuala ya haki za kiraia, na kwamba Tume imejitahidi kuweka mazingira rafiki kwa ajili ya watu wenye ulemavu wa aina mbalimbali kupata haki zao za kiraia.

Tuma Dandi/Swaum M NEC

mlimani

mlimani

Location: Journalism street off Ally Hassan Mwinyi Rd, Kinondoni Dar es Salaam Frequency: 106.5 MHz Contact: P. O Box 4067, Dar es Salaam Email (Official) mlimani.media@udsm.ac.tz Editor: pdandi22@gmail.com This Radio Station is owned by School of Journalism and Mass Communication of University of Dar es Salaam. Its role is to train students who pursue in Journalism, Mass Communication and Public Relation and Advertising courses offered by the University of Dar es Salaam. Also it serves students from other universities and colleges both local and international. Like other media, Mlimani Radio also serves the society as one of community radios with the aims of informing, educating, entertaining and advertising. Mostly its run by students under supervision of three skilled, educated and experienced journalists -- Redio Mlimani inamilikiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, iko katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma. Kijiografia, kituo hiki kiko Mikocheni, mtaa wa Journalism kutokea barabara ya Ally Hassan Mwinyi (Makumbusho). Kituo hiki kinatoa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine vya ndani na nje ya nchi. Pia kinatoa huduma za habari kwa jamii na ushauri katika fani za Uandishi wa Habari, Mawasiliano, uhusiano na Matangazo.

Leave a Reply