NI TOP TEN YA RADIO FADHILA 95.0 FM UNAWEZA SIKILIZA HAPO KWA KUBOFYA POPOTE ULIPO PIA PENDEKEZA NYIMBO IPI IINGIE KATIKA TOP TEN NA IPI ITOKE , AU ISHIKE NAFASI IPI !! TWENDE SAWA SAA 5 KAMILI KAMA KAWA

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply