UPANUZI WA BARABARA KUATHIRI HUDUMA YA MAJI MTWARA, – MTUWASA.

#Mtwara, Meneja rasilimali watu, na kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi Mtwara, Bi Sauna Keya amesema kutakuwa na mgao wa maji kwa maeneo ya katikati ya mji wa Mtwara kwa miezi miwili mfululizo kuanzia mwezi wa 6 kutokana na kupisha utenngenezaji wa barabara Mtwara – Mnivata km 50.

Kwa upande wake RAMADHANI CHUBI, Mhandisi wa mtandao wa maji na meneja mradi MTUWASA, amesema bombs kubwa la ml 300 linalotumika kusambaza maji maeneo mengi ndilo linalotakiwa kuhamishwa kutokana na vipimo vya barabara huyo.

Ametaja maeneo yatayoathirika, ni pamoja na Magoneni yote, mbae kijijini, ufukoni, Mbezi, Chuno, Mangowela, Tandika, Majengo, Chikongola, Rahaleo, Kisutu, Mdenga, Kiyangu pamoja na Shangazi zote. CHUBI ameomba wananchi kutumia maji kwa uangalifu kwa kipindi hiki kigumu

Bi Sauna Keya akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake. picha na karim Faida

Bi Sauna Keya akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake.
picha na karim Faida

Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply