UVUVI HARAM BAIBAI MTWARA

#Mtwara, Wavuvi na wananchi wa MIKINDANI MTWARA wameipongeza serikali ya wilaya ya Mtwara kwa juhudi ilizozichukua kutika kutokomeza UVUVI HARAM.

Wakiongea, HASSAN NANG’OTA na MKONDOA SAIDI wakazi wa Mikindani wamesema hali ya mazingira ya bahari ni shwari na hakuna tena uvuvi haram wa aina yoyote.


Kwa upande wake, Mwenyekiti wa mtaa wa Mnazi mmoja Kata ya mitengo HASSAN MKUMBILA MAKUBWALA amesema kwa jinsi sirikali ilivojidhatiti kwa kushirikiana na kikundi cha ulinzi shirikishi wa hifadhi ya bahari cha BMU, hakuna yeyote anayejihusisha na uvuvi haram.

2019 JAMII FM RADIO, SAUTI YA MNYONGE, TUNAANZA NA MNYONGE.
#jembelawatanzania.
KARIM FAIDA

Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply