MAMBA WAMALIZA WATU KIWENGULO, MKOANI MTWARA

Kila mwaka zaidi ya watu kumi wamekuwa wakifariki Dunia kutokana na ajali za kukamatwa na mamba katika kijiji cha Kiwengulo kata ya Mnongodi Halmashauri ya mji Nnanyamba Mkoani Mtwara.

Kwa kulitambua hili, mwandishi wetu KARIM FAIDA ametembelea Kijijini hapo umbali wa zaidi ya km 80 kutoka mtwara mjini na kuzungumza na Kijana JUMA HASANI MMACHIMO ambae alinusurika kuuwawa na Mamba baada ya kukamatwa akiwa katika shughuli za uvuvi.
Twende tukasikilize maongezi yao.


pia mwandishi wetu amemtafuta Mwenyekiti wa Kijiji hicho kujua kama wameandaa mbinu mbadala wa kujikinga na wanyama hao.

karim Faida ametembelea kwenye kata ya Mnongodi na na kufanikiwa kukutana na mheshimiwa Diwani wa Kata hiyo nae ameeleza kuhusu mkasa wa mamba na jinsi wanavyojipanga kupamba nao.

Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply