UHABA WA PEMBEJEO ZA KOROSHO

Baadhi ya wakulima wa zao la Korosho Mkoani Mtwara wamelalamikia ukosefu wa pembejeo na viatilifu ya zao hilo kutokana na kutokuwa na fedha za kuandaa mashamba hali inayopelekea kuhatarisha kushuka kwa uzalishaji kwa msimu ujao 2019/2020.

wakulima wa kijiji cha maili kumi wamezungumza na Gregory Millanzi Odillo, wengi wao bado hawajaandaa na kusafisha mashamba yao kutokana na kutukuwa na fedha za kukidhi maandalizi na pia wameshindwa kununua pembejeo na viatilifu vya zao la korosho.

Saidi Dadi Manzi, Mkulima wa Korosho kutoka kijiji cha Maili Kumi anaeleza hali ya maandalizi ya shamba kwa msimu huu ikoje ikoje kwa upande wake

Fatuma Hassani anaelezea maandalizi ya shamba kwa msimu huu ikoje.

kwa upande wake Mzee Mohamed Ismail nae alezungumza kuhusu hali ya upatikanaji wa pembejeo

nae Bi Rukia Lilanga nae amezungumzia changamoto anazopitia kwenye uandaaji wa shamba

Baada ya kuwasikiliza wakulima Gregory Millanzi Odillo, amezungumza na Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mh Gelasius Byakanwa ili kujua hali halisi ya kile walichozungumza.

Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply