CHANGAMOTO ZA VIKUNDI VYA UJASILIAMALI

Wanawake wengi Kwa sasa wanajihusisha na ujasiliamali, nilitembelea kijiji cha moma na kuzungumza na baadhi ya wanawake ambao wamekutana na changamoto kwenye ujasiliamali hususani kwenye vikundi.

Licha ya kuzungumza na wanawake yupo mwanaume ambae pia amejiunga kwenye vikundi vya ujasiliamali akishirikiana na wanawake.

Mwenyekiti wa kijiji cha moma ameeleza Hali halisi ya kijijini hapo kuhusiana na vikundi vya ujasiliamali.

Aidha nae kaimu afisa maendeleo ya halmashauri ya wilaya ya Mtwara amefafanua Sheria na utaratibu maalumu wa kufuata ili kuweza kupata mikopo Kwa wanavikundi, FUATILIA KIPINDI HICHO

Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply