MAKALA YA RASILIMALI ZETU INAYOANGAZIA MASUALA YA GESI NA MAFUTA MKOA WA MTWARA, HII NI SEHEMU YA PILI

Katika mwendelezo wa Makala haya, nimezungumza na wananchi wa kijiji cha Majengo kata ya ziwani, kijiji cha Namindondi kata ya Madimba na wananchi wa Kijiji cha Madimba kata ya Madimba kata ambayo ndio ina kiwanda cha kuchakata gesi.

Leo tumeangazia nini maana ya Mkuza wa Gesi, umuhimu wa elimu juu ya namna bora ya kujikinga endapo patatokea mlipuko wa gesi, pamoja na kujua kama kuna ulazima kwa wananchi wa maeneo yaliyoguswa na mradi huo kwenda kuangalia kule kunakochimbwa gesi.

Katika makala haya, utasikia wananchi wakihoji na kutoa mapendekezo mbalimbali ambayo tutapata mrejesho wake mapema tu kutoka kwa watu wenye mamlaka katika kipindi kijacho. SIKILIZA MAKALA HAPA

Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply