KATIKA KIPINDI CHA YALIYOJILI AFRIKA MASHARIKI ,Hotuba ya Rais Museven Chato Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewasili nchini kwa ziara ya siku moja ambapo amepokelewa na mwenyeji wake Rais John Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Chato, mkoani Geita.Rais Museveni anakuwa Rais wa pili kutembelea Chato baada ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Julai 6, mwaka huu,

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply