#AMKA NA RADIO FADHILA 95.0 FM -MASASI 11 ARFAJIRI- 3 ASUBUHI jambo la kuoa na kuolewa ni jambo jema katika familia hata kwa muoaji na muolewa hivyo kwa mila zetu mwanamume anatakiwa kutoa mahali ikiwemo fedha ,mifugo ngombe n.k je nyakati tuliyo nayo sasa kwa kizazi hiki unadhani dhamani ya mahali inathaminika kwa jamii wakati tunaona ndoa hazidumu

upload.php?post_id=1479&type=image&TB_iframe=1-NDOA-HAZIDUMU-MAONI-YA-NDOA-WASIKILIZAJI.mp3″][/audio]

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply