SIKILIZA MAONI KWA KUBOFYA HAPO CHINI AMKA NA RADIO FADHI95.0 MHZ -MASASI Tanzania yathibitisha mgonjwa wa kwanza wa COVID19, unaosababishwa na virusi vya Corona. JE WATANZANIA WANAFATA TARATIBU ZINAZOTOLEWA NAMNA YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA CORONA IKIWA PAMOJA NA KUTOKUMBATIANA HUKO MTAANIKWENU VIP

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply