AMKA NA RADIO FADHILA 95.0 MHZ pamoja na kuwa na namna ya kujikinga na MAAMBUKIZI ugonjwa wa corona ikiwemo kuvaa mask ya kujikinga mdomo pua kujikinga kuvuta hewa chafu hii imekuwa fulsa kwa wafanyabiashara kubandisha bei je mask hizo huko kwenu mkoani ,wilayani sh ngapi awali ilikuwa sh ngapi tuambie

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply