SIKILIZA MAONI YA WASIKILIZAJI KUHUSU MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MITOJI WAILAYA YA MASASI MWALIMU MANDANDA AMUNUSULIKA KIPIGO KUTOKA KWA WANAINCHI WENYE HASIRA KALI BAADA YA KUPIGA MWANAFUNZI KWA MABUTI MAKOFI MATEKE HADI KUZIMIA IKIWA NIA ADHABU ALIYOITOWA KWA MWANAFUNZI HUYO

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply