Radio Fadhila
Location: MASASI
Frequency: 95.0
Contact:Edwin Mpokasye
About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.