Makala inayo muhusu mtangazaji wa kituo cha radio fadhila

mathew magasha ni mtangazaji wa kituo cha radio fadhila kilichopo mjini masasi ,hii ni moja ya makala yake katika utendaji wa kazi pamoja na kujiunga na kituo cha radio fadhila.

fatana nae katika audio hii kujuwa mengi

IMG_20150122_180424

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply