Mchungaji msomi atetea dini ya Kiafrika

Iringa.

Mchungaji Daktari. Falres Ipyana Ilomo ambae pia ni mkufunzi katika chuo kikuu cha Iringa ameshangaza wengi baada ya kuendelea kutetea juu ya uwepo wa dini ya kiafrika licha ya yeye kuwa mchungaji. Hata hivyo katika kitabu chake cha African Religion alichokiandika yeye mwenyewe, amethibitisha vigezo vyote ambavyo vinafanya dini ya kiafrika kutambulika kama dini nyingine…

Hope FM

Hope FM

The Iringa-based 98.0 HOPE FM is owned by the University of Iringa (UoI), formerly Tumaini University, Iringa University College. The radio station is an officially registered institution with certificate of registration No. 186128 of the year 2008. Over the years it has built credible broadcasting record more as a teaching studio covering academic and community development issues mainly for in-campus students. Two of its objectives are: (1) to involve itself in research and consultancy in the areas of community participation in the conservation of natural resources and environment as well as to preserve Tanzania culture. (2) To network with other organizations with similar objectives within and beyond national borders. The radio station has covered thousands of issues concerning promotion of local livelihoods in rural areas and urban poor with focus to influencing policy reforms that advance such livelihoods.

Leave a Reply