Matumizi ya Internet kwa Radio za Jamii

DSCF6741

Nikifanya Mahojiano na Maisha Ambangile , Meneja wa Kyela FM Radio

Matumizi ya Internet kwa waandishi wa habari ni muhimu sana, kwasababu vyombo vya habari kwa kiasi kikubwa hutegemea utafutaji wa taarifa kupitia mitandao na wavuti mbalimbali. Hivi sasa Internet imekuwa kiungo muhimu kwa waandishi wa habari hususan wa utangazaji kuweza kuwasiliana na wasikilizaji wao kupitia mitandao ya kijamii. Katika Mahojiano yangu na Maisha Ambangile kutoka Kyela FM ambaye ni meneja wa kituo akifafanua namna kituo chake kinavyotumia Internet.

mlimani

mlimani

Location: Journalism street off Ally Hassan Mwinyi Rd, Kinondoni Dar es Salaam Frequency: 106.5 MHz Contact: P. O Box 4067, Dar es Salaam Email (Official) mlimani.media@udsm.ac.tz Editor: pdandi22@gmail.com This Radio Station is owned by School of Journalism and Mass Communication of University of Dar es Salaam. Its role is to train students who pursue in Journalism, Mass Communication and Public Relation and Advertising courses offered by the University of Dar es Salaam. Also it serves students from other universities and colleges both local and international. Like other media, Mlimani Radio also serves the society as one of community radios with the aims of informing, educating, entertaining and advertising. Mostly its run by students under supervision of three skilled, educated and experienced journalists -- Redio Mlimani inamilikiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, iko katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma. Kijiografia, kituo hiki kiko Mikocheni, mtaa wa Journalism kutokea barabara ya Ally Hassan Mwinyi (Makumbusho). Kituo hiki kinatoa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine vya ndani na nje ya nchi. Pia kinatoa huduma za habari kwa jamii na ushauri katika fani za Uandishi wa Habari, Mawasiliano, uhusiano na Matangazo.

Leave a Reply