Fursa Mtwara

Tangu kuanza kwa shughuli za uchimbaji wa gesi Asilia mkoani Mtwara, kumekuwa na fursa tofauti zinazo vutia wawekezaji, na hivyo kuufanya mkoa huo kuendelea kuneemeka kwa kuwa shughuli hizo zinachangia katika kuinua uchumi wa mtwara , mtu mmoja mmoja na maeneo jirani.

Ujenzi wa mradi wa madimba ukiwa umekamilika kwa asilimia zote, Kiwanda cha myanyabiashara Aliko Dangote cha uzalishaji wa cement pamoja na ujenzi wa mahoteli ni mojawapo ya fursa ambazo zimejitokeza mkoani humo na zikitarajiwa kuongeza pato.

madimba

Sehemu ya mtambo wa kuzalisha gesi wa Madimba

Ikiwa leo katika makala hii, tutazungumza na wakzi wa mtwara kujua tangu kuanza kwa shughuli hizi za uchimbaji wa gesi , ni kwa kiasi ganiĀ  wametumia fursa ambazo zinaendelea kujitokeza.

FURSA MTWARA     
mlimani

mlimani

Location: Journalism street off Ally Hassan Mwinyi Rd, Kinondoni Dar es Salaam Frequency: 106.5 MHz Contact: P. O Box 4067, Dar es Salaam Email (Official) mlimani.media@udsm.ac.tz Editor: pdandi22@gmail.com This Radio Station is owned by School of Journalism and Mass Communication of University of Dar es Salaam. Its role is to train students who pursue in Journalism, Mass Communication and Public Relation and Advertising courses offered by the University of Dar es Salaam. Also it serves students from other universities and colleges both local and international. Like other media, Mlimani Radio also serves the society as one of community radios with the aims of informing, educating, entertaining and advertising. Mostly its run by students under supervision of three skilled, educated and experienced journalists -- Redio Mlimani inamilikiwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, iko katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma. Kijiografia, kituo hiki kiko Mikocheni, mtaa wa Journalism kutokea barabara ya Ally Hassan Mwinyi (Makumbusho). Kituo hiki kinatoa mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine vya ndani na nje ya nchi. Pia kinatoa huduma za habari kwa jamii na ushauri katika fani za Uandishi wa Habari, Mawasiliano, uhusiano na Matangazo.

Leave a Reply