WASANII WA SANAA WAIOMBA SERIKALI IWATAFUTIE SOKO LA BIDHAA ZAO

Na michael sima Wasanii wa sanaa ya uchongaji wa vinyago wameiomba serikali iweze kuwatafutia soko la bidhaa zao ili waweze kuendeleza utamaduni wetu .Pia wamesema kuwa bidhaa ambazo wanachonga zinasaidia taifa kupata fedha za kigeni na kutangaza pia utamaduni,na wao kama wachongaji wa bidhaa hizo waweze kupata kipato ili waondokane na wimbi la umaskini.

Nikiwa na msanii wa sanaa ya uchongaji  wa vinyago john hendrick

Nikiwa na msanii wa sanaa ya uchongaji wa vinyago john hendrick

Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply