Makala ya kuhusu zao la korosho

NA GREGORY MILLANZI,MTWARA

Makala hii inahusu zao la koroshoambalo linalimwa sana kwenye mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Pwani na Ruvuma, makala hii imezungumzia jinsi ya kuandaa shamba kabla ya msimu wa korosho kuanza, mfumo wa stakabadhi ghalani, oparationi tokomeza kangomba…karibu usikilize makala hii.

Gregory Millanzi akizungumzia mada kwenye moja ya vipindi Jamii FM Radio Mtwara

Gregory Millanzi akizungumzia mada kwenye moja ya vipindi Jamii FM Radio Mtwara

MAKALA YA KOROSHO GREGORY MILLANZI     
Jamii Fm Radio

Jamii Fm Radio

Location: Naliendele- Mtwara Frequency: 90.5 MHz Contact: jamiifmradio90.5@gmail.com mtukwaomedia@yahoo.co.uk +255712087580, +255782510474, +255685307828 Jamii FM Radio is a community radio that intends to operate its radio station pursuant to non commercial. The main objective is to raise discussion about issues that are important to the people in rural communities in the Mtwara and Lindi regions. Jamii FM Radio wants to offer people on the grassroots level a possibility to take part in the public debate about issues concerning their livelihoods, about alternative ways of development and through this process a chance to find the best possible solutions to the development of their local areas in order to advance democracy, human rights and good governance. Jamii fm ni kituo cha radio ya kijamii yenye lengo la redio kusaidia kupaza sauti za wanajamii hasa waishio vijijini katika mikoa ya Lindi na Mtwara na kuongeza ushiriki wao katika utekelezaji wa maendeleo kupitia majadiliano. Jamii Fm Radio inasaidia wananchi kuibua changamoto za kimaendeleo zinazowakabili kuanzia ngazi ya kijiji hadi kitaifa, kuhusu aisha yao, maendeleo yao, Demokrasia, Haki za Binadamu na Utawala Bora. KARIBU SANA MTWARA-TANZANIA WELCOME MTWARA-TANZANIA

Leave a Reply