ZAO LA KOROSHO SASA SI MWENDO WA NGAMIA BALI NI MWENDO MDUNDO- Imeelezwa kutoka Mji mkuu wa nchi yetu Dodoma kuwa sasa zao la korosho ni zao la biashara na kwamba wakulima katika msimu huu wa mwaka 2017-2018, watapata pembejeo bure kwa asilimia 100. Kumekucha! Kwa ufahamu zaidi sikiliza kipindi cha Jukwa la wakulima-Radio Fadhila.

Radio Fadhila

Radio Fadhila

Location: MASASI Frequency: 95.0 Contact:Edwin Mpokasye About:Kituo cha Radio Fadhila kilirusha matangazo yake ya kwanza tarehe 2 June 2013, saa tisa alasiri. Kituo hiki ni Sauti ya Jamii ambapo ni uwanja wa majadiliano ambapo mkazo ni katika kutafuta njia ya kutatua mataizo yanayokabili jamii na kutafuta njia ya kuyatatua. Ni kuto cha kwanza cha aina yake Willayani Masasi, Mkoa Mtwara. Hitai la watu kuwasilana ni muhimu sana kwetu. Karibu Radio fadhila.

Leave a Reply